Saturday, October 12, 2013

(News nzito nzito) Hermy B kuungana na Jaji Ian na Juliana katika Tusker Project Fame 6, awashauri watanzania kupiga kura




Baada ya kuwafahamu majaji wawili wa TPF6 ambao ni Ian Mbugua (Kenya) na Juliana Kanyomozi (Uganda), hatimaye jina la jaji wa tatu limefahamika ambapo C.E.O wa BHitz Music, Hermes Bariki a.k.a Hermy B (Tanzania) ndiye atakayeungana na majaji hao wawili.

Akiongea na 100.5 Times fm Hermy B amewashauri watanzania kuwasapoti washiriki wanne kutoka Tanzania kwa kuwapigia kura kwa kuwa ushindi hutokana na wingi wa kura anazopigiwa mshiriki na sio anachosema jaji.

“Watanzania wasifikirie kwamba Jaji wao ndiye atakayewapatia ushindi washiriki wao, ndio wapige kura sasa, kwa sababu ushindi wa watu wengi unatokana na kura na sio jaji, hata Juliana akimwambia you are the best of the best lakini asipopigiwa kura hawezi kushinda.” Amesema Hermy B.

Washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika TPF6 ni Angella Karashani a.k.a Angel, Tanah, Hisia na Dubson.

Mshindi wa mwaka huu atapewa shilling Million Mia Moja, na mkataba wa kurekodi nyimbo kwa gharama ya shilingi Million mia mbili za Tanzania.

Source Djchoka

(Screen Shot Photo's) Angalia jinsi video ya MIRROR itakavyokuwa na utamu wake ikitoka.


Ni kijana anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya bongo fleva anajulikana kwa jina la Mirror msanii ambaye anatokea kwenye ile kampuni ya Wema Sepetu inayoitwa ENDLESS FAME FILMS. Huu ni ujio wake mpya video inaitwa BABY na imesimamiwa na Dir Nisher hadi Dress Codes alivotupia mtoto huyu amesimamia Nisher, kwenye upande wa Wardrobe naambiwa kasimamia Martin Kadinda na kuhusu makeups amesimamia Wema Sepetu.

Habari kutoka kwenye blog ya DjChoka

(New! Videos) Christina Favell ft. Thabit Abdul - MAPENZI MATAMU

(New! Audio) Waswazi - Your Number

(New! Audio) Samir - Nyororo



(New! Audio) Ally Mtam - Yule

(New! Video) MwanaFA & AY feat J Martins - Bila Kukunja Goti